Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leta earial photo ya dar tuone unakoishi.
hii huitaki sasaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ au wamewaonea




na siku ukipata slums in dar kwenye 100 top slums in the world naomba unitag
 
When you beat them in one thing, they divert the story to other things... Dar slum indeed, full of slums.
They are very good at changing goal posts. You ask them to bring aearial photos za dar vile tunaleta za Nairobi huku and they can't but they are so quick to post kibera pictures. What they forget is that kibera is a very small part of Nairobi. TANZANIANS, PLEASE SHOW US DAR AERIAL PHOTOS BEFORE YOU START CALLING NAIROBI A SLUM CITY. We know which one between these two cities is a slum
 
nimekwambia tafuta dar kwenye 100 top slums in the world ukiipata naomba unitag, i will be waitingπŸ˜€πŸ˜€
 
sio ile bongo ya 90s ndugu hii ni 2018 na bado ndio tumeanza just 10 yrs fungeni kamba kisawasawa safari hii hamutokiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Haya ma estate hayana tofauti na yale mabwawa ya kadoda anayofugia Samaki
Sema tu ni chuki inakumaliza. Dar ni miujiza kupata estate kama hiyo. kama iko leta na isiwe ya mbezi beach kwa sababu pale ndio mnajua kuna mpangilio kiasi wa nyumba.
 
Dar inakuwa kila dakika, Pale Kariakoo nishashuhudia Ghorofa limenunuliwa likavunjwa afu likajengwa upya. Angalia kwenye Top 5 majiji yanayokuwa kwa Kasi Africa, ukiikosa Dar sipost tena humu
 
Sema tu ni chuki inakumaliza. Dar ni miujiza kupata estate kama hiyo. kama iko leta na isiwe ya mbezi beach kwa sababu pale ndio mnajua kuna mpangilio kiasi wa nyumba.
miujiza vp wakat kila mtu anajenga nyumba ya dream yake viwanja vipo kila mtu anaishi kwenye nyumba yake alioijenga mwenyewe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
nyie munategemea investors ajenge nyie mkapange kama wakimbizi kwenye nchi yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…