Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna huu uwanja wa mazoezi wa ndani.
View attachment 3687382
Uwanja wa Arusha uko na amenities mingi kinoma humo ndani. Still waiting kama watajenga ile indoor Arena inayoonekana kwenye renda, wakiijenga hiyo wakunya watakimbia humu. 😂😂😂😂 mana uwanja unao eneo kubwa sana la parking na kila kitu kwa nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…