Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,139
- 107,698
We didn't chase them like you guys.What about the Poor from Burundi ?
imefika stage ya kuwaonea huruma sasa 🤣 🤣 🤣Wanasema Sikio la kufa halisikii dawa
View attachment 3673899
View: https://www.instagram.com/p/Ddd2077AMpZ/?img_index=1
zamani ilibidi uzunguke mpaka fire, saaahv wametisha kinoma noma
Just imagine the least Country (South Sudan) Inawapiga bao. Sasa hawa akina Teargass tuwasaidieje?imefika stage ya kuwaonea huruma sasa 🤣 🤣 🤣
Kuwekeza kwenye League ya Kenya ni kupoteza pesa. Just imagine kama ingekuwa watu wamewekeza hasara hii!!!
apo azam anatakiwa kuwalipa kila mwezi kila timu saa sjui ela anatoa wap, au ndo mpaka wasubiri azam ya bongo watume elaKuwekeza kwenye League ya Kenya ni kupoteza pesa. Just imagine kama ingekuwa watu wamewekeza hasara hii!!!
Matatizo kwao furaha kwetu. Kwa sababu wameamua kuwa adui zetu ngoja iwe hivyo