Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dodoma ina millionaires wengi kuliko miji yenu mingi and the sign is vivid, the pace of growing is never experienced in any Kunyaland locality


View: https://vm.tiktok.com/ZMMCErCEc/

Hii Dodoma aisee kama ulaya, pazuri alafu kijani tupu na sio mapori, ila nashangazwa na nguzo za miti za umeme, imekaaje hii? Magu alizikataa hizi nguzo akasema tutumie nguzo za zege na huku Dar tulishaanza kutumia nguzo za zege inakuaje mji wa kimkakati kama Dodoma waendelee kutumia nguzo za miti?
 
Kuna hizo mbwa mbili ndio zimeendelea kukaza fuvu πŸ˜‚πŸ˜‚ Azam complex pekee ni bora kuliko takataka yoyote hapo kundustan
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
🀣🀣. Azam complex Iko na CAF standards, what about your national stadium.? 🀣🀣 Hiyo ikwambie kwamba Azam complex ni modern kuliko uwanja wowote in the entire kundurenders republic.
CAF ndo ujinga upi 🀣🀣? Azam watu wanakalia mbao,πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…