COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Tunaongelea malls brathee ..zingine zikwapi????πππππ tanzania haiskiki hata moja uganda zimefungwa kenya zinasuasua
Wewe utalianaona swali limekua ngumu sana kwako hebu rudi page za nyuma umtafute mwenzako anaitwa livale alaf uanzie hapoππππππππ
kwan mm naongelea nini??? kufungwa kwa duka kwenye mall hio si ajabu na mm nakupa info hakuna mji tanzania unakua kwa kasi tena unakua vzr sana kama mwanzaπππππππTunaongelea malls brathee ..
Nakumatt sio mall...mall nikam rock city,mlimani etc hapa Kenya ni kama TRM,garden city,two rivers etckwan mm naongelea nini??? kufungwa kwa duka kwenye mall hio si ajabu na mm nakupa info hakuna mji tanzania unakua kwa kasi tena unakua vzr sana kama mwanzaπππππππ
Cha msisitizo ni low customers... Hasarakwan mm naongelea nini??? kufungwa kwa duka kwenye mall hio si ajabu na mm nakupa info hakuna mji tanzania unakua kwa kasi tena unakua vzr sana kama mwanzaπππππππ
Kwani za mazese hazipo.nawewe tuma uome kama zinapita za kibera kwa uzuri.Utajua mtz ameshindwa akitaja
1.punguza hasira
2.povu
3.akituma picha za kibera na kusahau kutuma za kilimani na upperhill
na mm nilikua nakutolea mfano juu ya kufungwa kwa madukaπππππNakumatt sio mall...mall nikam rock city,mlimani etc hapa Kenya ni kama TRM,garden city,two rivers etc
huyo hakufungua biashara sahihi uskifungua biashara isio sahihi utakula hasara tuππππCha msisitizo ni low customers... Hasara
Na nkakuambia nakumatt ikifungwa inareplaciwa direct...ni nakumatt inakufaa juu ya hasara ya kulipa wafanyikazi wengi tz,ug,Rwanda na profit huko ni kidogona mm nilikua nakutolea mfano juu ya kufungwa kwa madukaπππππ
Duka 10...sio 2 ama 4 ni 10??????huyo hakufungua biashara sahihi uskifungua biashara isio sahihi utakula hasara tuππππ
sio zote baba nakumat amekiri mwenyewe biashara hakuna ππππππ nchi imeyumba kiuchumiNa nkakuambia nakumatt ikifungwa inareplaciwa direct...ni nakumatt inakufaa juu ya hasara ya kulipa wafanyikazi wengi tz,ug,Rwanda na profit huko ni kidogo
Nakumatt ndio inakufa pekee.... Malls zinaendelea kujengwa kila kuchao...sio zote baba nakumat amekiri mwenyewe biashara hakuna ππππππ nchi imeyumba kiuchumi
hata zingekua 20 kama hamujafungua biashara sahihi inaendana na location ya mji wenyewe utakula hasara ni sawa ufungue butcher ndan ya mall uuze samaki kwa mwanza utakula hasara tuDuka 10...sio 2 ama 4 ni 10??????
maskini investor kaingizwa chaka amekula hasaraππππππNakumatt ndio inakufa pekee.... Malls zinaendelea kujengwa kila kuchao...
True in fact 3 in Nakuru county...one b4 one after....and one interchanging to kerichoNot only is Nairobi marred with uncountable flyovers, but only Nakuru which is erecting a massive one as you approach the CBD.