wapi zinashugulikiwa au bado zinashuglikiwa kwenye karatasi niambie usione aibu brozote zinashughulikiwa...hass,montave,avic,marquis,cbk penson,upperhill chambers,one african palace..zenye hatujaeka na zile bado hazijaanza kama kina akili towers,lordship etc
πππthose Dar roads are just funny hahaha. .....na hawana aibu kuzipost hata
hahaaa...alafu mwingine nlimuona jana ana guts za kuzifananisha na thika road?those Dar roads are just funny hahaha. .....na hawana aibu kuzipost hata
dar kama dar labda nikufundishe kiswahili, dar kuna barabara nyingi sana kuliko nairobi ila barabara za nairobi ni pana thats all lakini kwa barabara za jiji dar huiwez hata nusuππππππππthose Dar roads are just funny hahaha. .....na hawana aibu kuzipost hata
we baki tu hapo ukijiimbia nyimbo zako zisizoeleweka.....acha tuendelee kujenga mji..hio dar ya 2017 inafanywa kijiji na naiwapi zinashugulikiwa au bado zinashuglikiwa kwenye karatasi niambie usione aibu bro
πππππππππππππ
kisu cha ngariba hakiwezi kumuacha mkenya salama,kinapomuingia mahala pake lazima apige yowe ili kila mtu ajuwe kuwa sasa mkenya anashughulikiwa na mtanzaniathose Dar roads are just funny hahaha. .....na hawana aibu kuzipost hata
hahaaa...vijisababu kila saa.huoni aibu kila saa uko kwa defensive side..ati za dar ni nyembamba.mlizijengea mikokoteni kwani....stone age citydar kama dar labda nikufundishe kiswahili, dar kuna barabara nyingi sana kuliko nairobi ila barabara za nairobi ni pana thats all lakini kwa barabara za jiji dar huiwez hata nusuππππππππ
hahahahah wapi unakwenda subiri tumalizane wapi ujenzi ukiendelea ila usinioneshe pic kama ya yule mwenzako uniambie ujenzi maana nimecheka mpaka nusu kuangukawe baki tu hapo ukijiimbia nyimbo zako zisizoeleweka.....acha tuendelee kujenga mji..hio dar ya 2017 inafanywa kijiji na nai
unaelewa kiswahili yani usijipe matumaini hata siku moja eti utashindana na dar kwa wingi wa barabara utapotea kakahahaaa...vijisababu kila saa.huoni aibu kila saa uko kwa defensive side..ati za dar ni nyembamba.mlizijengea mikokoteni kwani....stone age city
Wow asante kwa renders broπππnjoo muone renders...lol!
wapi ujenzi sasa kama sio renders bro y unalia sana hvo yani leo mumenifurahisha sana wallahichoboy amelemewa hana hoja tena amebaki kuimba renders,renders,render......povu,povu,povu,,renders,povu,povu renders...
hahaaa...alafu mwingine nlimuona jana ana guts za kuzifananisha na thika road?
sisi hatupigi kelele mitandaoni bure..tunashusha vitu tuunaelewa kiswahili yani usijipe matumaini hata siku moja eti utashindana na dar kwa wingi wa barabara utapotea kaka
ππππππππππππ
yani dar sehemu moja inaeza ikaingilika kwa barabara zaidi ya 5 tofaut tofaut