Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hua na washanga wa Tz wengine kwa sababu hua na wasikia wakisema inchi yao haitegemei wageni kwa kukuza uchumi wao,hizo kampuni za kenya ambazo ziko Tanzania hiyo si foreign investment au ni mimi sielewi?
 
Zitaje basi tuziskie😀😀😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…