Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Season 3 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kilometre zaidi ya kumi imeinuka. Najua unaugua kwa wivu ila itabidi uzoee tu. Tunakualika uje utalii huku mradi utakapokamilika.
Unialike kwenye flyover hizo c zipo huku na tunaendelea kujenga zingine nyingi, mm ndio nikukaribishe wewe uje uone kitu cha ajabu ambacho hujawahi kukiona wala kukipanda tangu uzaliwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mvua inapo nyesha in the fishing village.., Dar kama Dar..,











 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…