Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KENYAN WOMEN V/S LOCALS FISHING 🎣 VILLAGE TZ WOMEN


 
zama za mama zimeanza kuonekana..
kuna tajir mmoja anaitwa alex korosso (nishawah kumuona mara nying samaki samaki masaki) kaleta jeuri bar sinza sijui huko.. kaua mtu then akajiua na yeye

wengine hawa hapa[emoji23] mtu ananunua ranges afu anazisafirisha kwa lori[emoji23][emoji23]



watu wanaanza kuonyeshana jeuri za pesa hadharan.. “wanijua mim?” “wajua mim ni nan”
 
Dar kuna showroom inauza brand-new Mercedes AMG kweli? Inabidii wadau waje Nairobi shopping. 😂😁
 
FAT,UGLY DUCKLINGS,mlianza kupost celebs wenu mka shindwa😆😆😤,uliskia wapi hii umeanza mtaweza!🤔👎????.....
Boss unataka kuwaona real celebrities?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Maana tukiwaeka humu ndani mtakimbia🙂
 
FAT,UGLY DUCKLINGS,mlianza kupost celebs wenu mka shindwa[emoji38][emoji38][emoji36],uliskia wapi hii umeanza mtaweza![emoji848][emoji107]????.....
We nawe toa usenge wako hapa huoni hata Wakenya wenzako wanakushangaa? Unawezaje kulinganisha wanawake wa Tanzania na Kenya kwa uzuri, huoni aibu? mshawahi kupata taji lolote la urembo kimataifa? Watz msimjibu huyu wacha ajibiwe na Wakenya wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…