nawewe ni muhanga wa kuishiwa chaji nini?? hahahahaha
Nunua Tecno f7 au f8 nazo zinatumia Android
- ​Nimeipenda hii. Unachaji leo after three month unaanza kutafuta "jamani hivi ila charge niliyotumia mwezi july eti umeiona wapi"
Nokia wametoa cm elf 30, inakaa wiki.
Nokia wametoa cm elf 30, inakaa wiki.
Mkuu yaani acha tu. Nimedownload na application za kucharge kwa solar kumbe uchafu mtupu. Mmh ila battery laki 8!! Ngoja tu nivumilie. Dawa ni kuwa na smart phone na nokia kitochi basi.
mi nataka battery zake tu zinazofit kwenye huawei ascend y300
Nokia wametoa cm elf 30, inakaa wiki.
Hawa wote ni michina hata bure hapana nipa mimi!!
Kwa akili kama hii utasubiri sana tu. Pole yako.
kuna application inaitwa DU BATTERY yenyewe iko vizuri katika kukutunzia charge
Kweli kabisa.Kwa utafiti mdogo niliofanya:98% ya watu wanaomiliki smartphone wana Nokia tochiMkuu yaani acha tu. Nimedownload na application za kucharge kwa solar kumbe uchafu mtupu. Mmh ila battery laki 8!! Ngoja tu nivumilie. Dawa ni kuwa na smart phone na nokia kitochi basi.
Tatizo cm zina uwezo mkubwa kuliko uwezo ww bettrey
best Nominee of all times wawe Chief Mkwawa and Young Master if I were to be a judgeJF "a centre of stuffed laboratory n report" good....one day ,we will initiate "jf certified awards"
mwache asinzie wenzie wanakula bata na tecno P3 na iko poa tu,sasa mi nampa tecno za ukwee anajfanya mjuaji, anunue za mil 1 kama anaweza na batery ya lak 8 aefilic duka.