M.E.M.A
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 1,373
- 472
nawewe ni muhanga wa kuishiwa chaji nini?? hahahahaha
Mkuu yaani acha tu. Nimedownload na application za kucharge kwa solar kumbe uchafu mtupu. Mmh ila battery laki 8!! Ngoja tu nivumilie. Dawa ni kuwa na smart phone na nokia kitochi basi.