Battery booster katika smart phones

Battery booster katika smart phones

akohi

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
787
Reaction score
527
Habarizenu wana JF,

hivi hii maneno ni kweli? How does it work?
 
mkuu actualy hamna battery booster ila kuna power saver.

Yani unavifanya vitu vile energy kwa kiasi cha chini.

Mfano mwanga wa simu ukiwa mkubwa hio battery booster itaupunguza uwe mdogo hii itasaidia kufanya mwanga uwe mdogo.

Au unakuta unatumia netwrok ya 3g inaswitch kwenda edge ili kupunguza ulaji wa battery

battery booster nyengine zinaweza pia kukuzuia kuingia app flan flan ambazo ni power hunger.
 
Asante sana mkuu kwa kunipa mwanga...be blessed!
 
Back
Top Bottom