Baton Rouge: 'Three US police officers shot'

Baton Rouge: 'Three US police officers shot'

Hahaaa wewe jamaa una matatizo sana. Kwa vile umenipingisha urafiki sina budi kukubali tu.

Lakini una tatizo moja kubwa. Huwa unanizushia mambo ya uongo sana.

Kwa lile jina lako jingine ushanizushia kuwa mimi jina langu ni Richard Mugizi [kwa taarifa yako hakuna mtu wa JF anayejua jina langu la ukweli. Hakuna aliyewahi kuona kitambulisho changu wala cheti changu cha kuzaliwa]. Ulikosea.

Ukaja na uzushi mwingine kuwa eti mimi ninadai nina ma apartments sijui Masaki na Msasani. Nikakupa changamoto uonyeshe niliposema hivyo ukashindwa.

Haya, leo umekuja na mpya kwa kutumia jina jingine. Sasa basi, ili kukata tu mzizi wa fitna, unaweza kunionyesha niliposema kuwa "US hakuna ubaguzi"?

Otherwise mambo mengine niaje Mangi? Kwema huko uliko? Totoz vipi...?
Nikitafuta nikaleta hapa kama kawaida yako utaruka na ujanja mwingi..

Lakini vipi, hayo mauaji unayaongeleaje?? Ni majuzi tu yule kijana aliuawa na askari kwenye huo mji..
 
Nikitafuta nikaleta hapa kama kawaida yako utaruka na ujanja mwingi..

Lakini vipi, hayo mauaji unayaongeleaje?? Ni majuzi tu yule kijana aliuawa na askari kwenye huo mji..

Tumalize kwanza hilo la mimi kusema hayo unayodai nimesema halafu tutalijadili hilo jingine.

Manake huenda kukawa na tatizo kubwa zaidi [la kusoma na kushindwa kuelewa] ya ninavyofikiria.

Sawa Mangi?
 
Tumalize kwanza hilo la mimi kusema hayo unayodai nimesema halafu tutalijadili hilo jingine.

Manake huenda kukawa na tatizo kubwa zaidi [la kusoma na kushindwa kuelewa] ya ninavyofikiria.

Sawa Mangi?
Kama umeshindwa kujibu kwa leo sina huo muda wa kuchambua post zako..
 
Kama umeshindwa kujibu kwa leo sina huo muda wa kuchambua post zako..
Nashuhudia niliona post ya Nyani Ngabu ikitamka ama moja kwa moja au kwa taathira yake kuwa hakuna ubaguzi usa, nilipojaribu kubishana naye kidogo (sio kwa jambo la ubaguzi) akaniambia "nenda mkuranga kuna kibabu kimepigwa risasi huko........"
 
Weka kiunganishi cha huo uzi hapa.
 
Nashuhudia niliona post ya Nyani Ngabu ikitamka ama moja kwa moja au kwa taathira yake kuwa hakuna ubaguzi usa, nilipojaribu kubishana naye kidogo (sio kwa jambo la ubaguzi) akaniambia "nenda mkuranga kuna kibabu kimepigwa risasi huko........"
hahahahahahahaha kwahiyo mkuu ikabidi uende Mkuranga au?

Ulisema sana kwenye ile post ya mauaji ya Dallas.. Lakini hata ukimletea hapa atakuruka na kukwambia hukumwelewa.. Ndio maana sijaona umuhimu wa kumletea post zake hapa.
 
Acha visingizio, weka hapa niliposema hakuna ubaguzi US.
 
Kuna kesi yakuwawa African American mwaka 2014 na ndipo polisi wawili waliuwa mjini New York nawengine kujeruhiwa na mwaka huu imejirudia tena sema idadi ya vifo kwa police wenye rangi nyeupe imezidi duu kunapoelekea huku police wazungu wakianza vita na Vijana wenye rangi nyeusi itakuwa hatari sana ila police weusi wanasaidia vipi kuzuia hii hali maana wahanga wakubwa ni vijana weusi sio wazee walaa wakina mama
 
Kama muuwaji ni jina la kiislam - gaidi to huyo, Kama ni mweusi- muhuni, Kama ni mwupe ana matatizo ya akili. Hukumu hio hapo.....
 
Tuwe wa kweli watu weupe wanatuzidi mambo mengi na hata ustaarabu mf.askari mweusi angekuwa amemuua mzungu sidhani kama wazungu wangeanza kulipiza kisasi kwa mtindo kama huu.Na hata wao wazungu wakiamua kupambana na waafrika watakao umia ni weusi
 
  • Thanks
Reactions: kui
Raisi wa Marekani anatakiwa kuingilia kati huu mzozo unaendelea sasa watu weusi wamekuwa wakiishi kwa wasi wasi kama wakimbizi kwa sasa hawa wazungu wanatudharau sana watu weusi halafu wakija kwenye Tanzania unakuta tunawanyenyekea sana ni upuuzi
 
Swali la kizushi.Hivi Nyani Ngabu ni Mr? au ni Ms?Naulizia hivo kwa sababu kuna article humu inayohusu wachina na Maziwa ya watoto alitaka kuwa counted in.Najua hapa sio Mahali pake.just curious
Ni mwanaume. Tena ni mmbeba mabox pale marekani
 
Marekani sasa hawatofautiani na waarabu wanaouana wao kwa wao. Tofauti ni kwamba waarabu wanajitoa muhanga kwa kujilipua na maboni hawa wanaviziana kwa bunduki
 
Back
Top Bottom