Safi sana, Benguela ni mji wenye historia kubwa sana kuhusu watumwa.
Wabrazil na waCuba weusi kizazi chao cha watumwa kilitokea hapo Benguela na ndani zaidi kuelekea Zambia.
Si unaona pana reli hapo ndiyo ilitumika kusafirisha mazao ya biashara kutoka Copperbelt hadi Lobito. Enzi hizo karne ya 20 na wareno.
Kuna binti mmoja anaitwa Leila Luliana da Costa Vieira Lopes alishinda Miss Universe mwaka 2011 na alizaliwa hapo hapo Benguela
Da! haya mkuu.
Karibu mkuu, inabidi tutafute riziki huku tu...maana huko Bongo, huyo jamaa bwana "Kazi Kazi"ana wivu na maendeleo ya watu binafsi....