Yeah well said, lakini bado upande wa story na muendelezo superman story zake zinakosa msisimko kama wa movie za batman kwa mfano trilogy ya Dark knight ni bora zaiditikiongelea maswala ya nguvu SUPERMAN ni zaidi kuliko BATMAN.
tukiongelea swala la akili BATMAN ni zaidi.
tukiongelea maswala ya kiuchumi BATMAN ni zaidi.
Tukiongelea kuhusu hali zao kiiafya SUPERMAN ni zaidi.
Tukiongelea kuhusu mvuto wa muonekeano SUPERMAN ni zaidi.
Halafu superman amevaa uhusika, as if yeye sio binaadamu wa sayari dunia, sio tu wa kawaida. lakini batman ana wawakilisha binadamu wote wakaida wenye, na kwahiyo anahamasisha binadamu wote wa kawaida, labda kama na wewe ni ALIEN.
Superman story zake sio nzuri sanaWaandaaji wa Superman hawana mashabiki wengi wa kati ya umri wa miaka 40 na kuendelea..
Wakati watazamaji wa BATMAN ni wa rika lote....
Superman anawavutia zaidi watoto na rika la mabinti...
Batman ana mvuto kwa wazee na rika la vijana..