Bati la geji 32 ni lakupaulia au? na ukilipaka rangi linaimarika?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,554
31,427
Nataka kumpaulia shangazi yangu nyumba yake bati la geji 32 futi nane linauzwa 12 kwakuwa nyumba yake ni kubwa inahitaji bati 140 na kwaharakaharaka hiyo hela ninayo ila zaidi ya hapo sitamudu kwasasa .

Naombeni ushauri hi geji 32 ni durable? Na je kutokana na wepesi wake ukilipaka rangi linaimarika .?
 
gharama ya ufundi na bati zenyewe bora ununue bati walau gauge 30 upaue nusu ujipange taratibu. nyumba haipauliwi mara mbili ndugu labda ukubali kuingia hasara.

Na huyo shangazi yako nyumba ya bati 140
 
Nataka kumpaulia shangazi yangu nyumba yake bati la geji 32 futi nane linauzwa 12 kwakuwa nyumba yake ni kubwa inahitaji bati 140 na kwaharakaharaka hiyo hela ninayo ila zaidi ya hapo sitamudu kwasasa .

Naombeni ushauri hi geji 32 ni durable? Na je kutokana na wepesi wake ukilipaka rangi linaimarika .?
Nenda Alaf kiwandani hautojuta, kinyume Cha happy Nina neno moja tu, Pole wee.
Hata uifanyeje counterfeit product will never turn to genuine
 
Haiwezi kubeba uzito wa mtu. Ni kweli ni imara kuliko 32 gauge ila kubeba uzito wa mtu si kweli.
Inategemea na uzito wa mtu na mtu. Ila uzito wa pole pole au stivu nyerere au hata joti na mpoki unasimama vyema.
Kuongezea chini ya bati kunakuwa na mbao
 
Mkuu sishauri kabisa utumie hizo Gage 32 maana ni nyepesi mno, pambana utumie Gage 28 ambazo ni nzito
Bati gauge 30 ni imara na hazina tatizo, ameshasema uwezo wake mdogo unataka ajenge "kwa bati za serikali"!
 
Nataka kumpaulia shangazi yangu nyumba yake bati la geji 32 futi nane linauzwa 12 kwakuwa nyumba yake ni kubwa inahitaji bati 140 na kwaharakaharaka hiyo hela ninayo ila zaidi ya hapo sitamudu kwasasa .

Naombeni ushauri hi geji 32 ni durable? Na je kutokana na wepesi wake ukilipaka rangi linaimarika .?
Bomoa hiyo nyumba jenga kama hii tofali 1500,bati 62, 3bedrooms
 
Back
Top Bottom