Bati aina gani nzuri ambayo haiwezi kupauka

Uncle Z

Member
Jul 21, 2021
17
18
Wapambanaji mpooo! Naomben kufaham ni kampuni gani nzuri inayo tengeneza bati imara ambazo haziwezi kupauka?

Nikipata makampuni tofauti tofauti itakuwa vizuri sana na bei zao kwa bando
 
Sunshare Ltd

Bei ya bati ni kwa mita 1
Bei zinatofautiana kulingana na aina ya bati pamoja na gauge unayotaka.

Vigae, Bati la vigae, Bati ya kawaida, Mgongo mpana/Mkubwa.
IMG_20210615_142940_889.jpg
image-2021-06-21-21-23-202.jpg
IMG-20210620-WA0002.jpg
IMG_20210615_085058_714.jpg
image-2021-06-21-21-33-03.jpg
 
Hakuna cha kampuni wala nini bati zote hupauka ni swala la muda tu

Ila kuna baadhi ya rangi ikipauka huonekana zaidi. Kwa bahati mbaya wengi ndio huzichagua hasa damu ya mzee.

Rangi nzuri ambazo hata ikipauka huwa haionyeshi ni karoti na kijivu.
 
Nimechukua hii mkuu
 
hilo lipo wazi. Umesema kwel kabisa.
Ila huwez kuchukua Bati ya Kiwanda X alaf ukalinganisha ubora na Bati ya Sunshare.
Ndo maan KIWANDA kinatoa WARRANTY ya miaka 15.
 
Back
Top Bottom