Chuo cha Maji
Member
- May 4, 2017
- 54
- 34
Batch ya Tatu ya Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Courses mbalimbali (Provision Admission) katika ngazi ya Diploma kwa mwaka wa Masomo 2017/2018 yametoka.
Tafadhali tembelea website ya Chuo uweze kuona jina na course uliyochaguliwa au download PDF ilioambatanishwa hapa.
Vilevile,tunaendelea kupokea maombi ya kujiunga na Chuo cha Maji kwa ngazi ya Diploma na Degree hadi tarehe 20 September 2017. Unaweza kudownload form na kujaza na kuambatanisha vitu vinavyohitajika au uka apply online kupitia website ya Chuo. www.waterinstitute.ac.tz
Karibuni sana.