Batch ya 3 ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Diploma

Batch ya 3 ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Diploma

Nimemaanisha anaweza kusoma Diploma bila kuwa na Physics?
O-level yake hakusoma Physics pia!japo ufaulu wake ulikuwa mzuri,alipata Chemistry-B
Biology-C
Mathematics-D
Geography-C
English-B
History-C
Civics-C
Kiswahili-C
Je,kwa matokeo hayo in Diploma gani nzuri anaweza kusoma?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Diploma in Water Lab inamhusu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi soko la hizo course mkuu,nisije nikampeleka huko akabaki kusugua bench baada ya kumaliza!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ajira kwenye makampuni ya maji kama uhai, kilimanjaro n.k pia kwenye mamlaka za maji za miji kama dawasco....na viwanda vya vinywaji....changamoto ya ajira ipo mkuu kwa sababu serikali haitak kuajir na uhtaj ni mkubwa sana...cjajua upande wa private sector pakoje mkuu
 
Back
Top Bottom