Bata Ubatani-Dege Jipya Lenye Mapozi Yote Angani

Bata Ubatani-Dege Jipya Lenye Mapozi Yote Angani

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Europe Air ni dege jipya lenye bata zote uwapo angani ikiwa ni pamoja na bwawa la kuogelea, ukumbi wa dansi, Night Club etc

12744322_1074447559271935_5293140760652760312_n.jpg

: New Aeroplane by Air Europe with shopping mall, suit rooms, swimming pool on top. Three floors first aeroplane in the world.
 
Swimming pool wkt wa kutua ndege maji hayamwagiki[emoji15]
 
wangejenga na kiwanja cha ndege humo ili kama vipi ndege zingine ziweze kutua na kuondoka kutoka kwenye dege hilo au hata a helipad!
 
Europe Air ni dege jipya lenye bata zote uwapo angani ikiwa ni pamoja na bwawa la kuogelea, ukumbi wa dansi, Night Club etc

View attachment 323835
: New Aeroplane by Air Europe with shopping mall, suit rooms, swimming pool on top. Three floors first aeroplane in the world.
Hakunaga dege la namna hii duniani. Picha hii ni mchoro wa wabunifu tu wa aina ya ndege wanayoifikiria kuundwa huko mbele ya safari.
 
Back
Top Bottom