Bata mzinga Bata bukini

huwa wanapenda sana kupandana kwenye maji ndugu

Hawa nao wana mbwembe!! Wanafanya hivyo kupooza vitagio nn!.....just jocking....mkuu kitomari nakutafuta next week..hope unatumia same number au nirushie kwa pm tafadhali
 
Pata bata mzinga wenye kukua haraka na wenye kuvumilia magonjwa pia wanauwezo wa kua mpk na kg 15 bata bukini wanapatikana karibu 0757662401

jitaidi utufungulie ofisi huku dar kaka tutafrah saana
 
Pata bata mzinga wenye kukua haraka na wenye kuvumilia magonjwa pia wanauwezo wa kua mpk na kg 15 bata bukini wanapatikana karibu 0757662401

niambie kaka vipi una mzinga madume wakubwa
 
Kitomari hivi bukini hashambuliwi na maradhi kabsa
 
Pata bata mzinga wenye kukua haraka na wenye kuvumilia magonjwa pia wanauwezo wa kua mpk na kg 15 bata bukini wanapatikana karibu 0757662401

habari kitomari bata wako wamefika salama namshkuru mungu wanaendelea salama
 
Pata bata mzinga wenye kukua haraka na wenye kuvumilia magonjwa pia wanauwezo wa kua mpk na kg 15 bata bukini wanapatikana karibu 0757662401

niwape nini bata wangu watage mr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…