Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,573
- 12,316
Hahahahahah wewe kijana utasababisha nionekane kituko mbele za watushamba likikutwa bangi ni yako(hata kama imejiotea),ila madini yakikutwa ni ya serikali.
Hahahahahah wewe kijana utasababisha nionekane kituko mbele za watushamba likikutwa bangi ni yako(hata kama imejiotea),ila madini yakikutwa ni ya serikali.
[emoji23] [emoji23]shamba likikutwa bangi ni yako(hata kama imejiotea),ila madini yakikutwa ni ya serikali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shamba likikutwa bangi ni yako(hata kama imejiotea),ila madini yakikutwa ni ya serikali.
Kweli?Malkia kakataza kula bata!
Kweli?
Hahaah chene hangi nkoikula zako! au kura zako? Aliyekulike na yeye masala ndoho!
Unamzungumzia huyuHata hapa kwetu niliwahi sikia kuwa kuna ndege flani anaitwa nani sijui jina la mwanzo, lakini la pili ni bastadi. Wataalamu wa wanyamapori watakuwa washamfahamu, niliambiwa hairuhusiwi kwa raia kumuwinda na kumla, ni mboga ya magogoni.