Bata Bukini wanauzwa kwa bei nafuu, wahi sasa

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,074
Wale mabingwa wa ufugaji wamekuja tena kukuuzia Bata bukini wazuri ambao ni wakubwa na wanataga wanapatikana kwa bei nafuu, kumbuka yai moja la bata bukini linauzwa 50000 hivyo basi mnunuzi atajipatia faida nyingine akiendelea kuwafuga bata hawa ..

Madume wanapatikana kwa shilingi 250000

Majike wanapatikana kwa shilingi 260000

Kumbuka biashara ni maelewano hivyo piga simu kupitia nambari 0754365520 kwa maelewano zaidi.
 
Mkuu hawa wako ni wakubwa kama wale wa Kitomari?
 
Last edited by a moderator:
Ni wa kubwa .. piga namba husika kwa mawasiliano zaidi
 
Wale mabingwa wa ufugaji wamekuja tena kukuuzia Bata bukini wazuri ambao ni wakubwa na wanataga wanapatikana kwa bei nafuu, kumbuka yai moja la bata bukini linauzwa 50000 hivyo basi mnunuzi atajipatia faida nyingine akiendelea kuwafuga bata hawa ..

Madume wanapatikana kwa shilingi 250000

Majike wanapatikana kwa shilingi 260000

Kumbuka biashara ni maelewano hivyo piga simu kupitia nambari 0754365520 kwa maelewano zaidi.
faida za hawa jamaa kwa binadamu ni zipi?
 
Thibitisha kama wewe siye Kitomari
 
Last edited by a moderator:
Kitomari ndo nani mbna siwaelewi
 
yaani JF ni raha huyu jamaa anaonyesha wengi walipita mikono yake
 
Back
Top Bottom