Bata Bukini anahitajika Dar

Bata Bukini anahitajika Dar

mfereji maringo

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
1,043
Reaction score
263
Habari wana JF

Ninaishi Jet Dar, nahitaji Bata Bukini, kanga weupe na kuku Kuchi au mbegu yeyote ya kuku wa kienyeji ya umbo kubwa.

Mwenye nao aniambie anapatikana wapi Dar na bei gani nije nione na kununua.

MIchezo ya kina Kitomondo wa aArusha ninaijua vema.

Nakaribisha wote karibuni
Wasallaam
 
bata ninao ila wako arusha bei 150@ wakubwa karibia wanataga
 
Pole sina muda wa kuja kuwaona Arusha, naomba mwenye nao Dar aniambie wako wapi na kama ninaweza kuja kuwaona na bei yake wakiwa wakubwa na vifaranga pia kama wapo
Arusha msalimie Kitomondo
 
Hello piga cm hii km uko interested ninao 0754302768 wapo wa kila aina km kuonana niambie nipo jwtz mlalakuwa..kitomari habari yangu anaijua nishamtupa pia namba yako muhimu
 
Heshima kwenu wakuu ninauza..bata bukini wa miezi saba mwakani wanatagaa,ninauza wanaotagaa,pia kangaa weusi,vifaranga wa miezi minne wa bata mzinga,bata mzinga wakubwa 15kg mpka 10kg.beberu la israeli 55kg ,zuri kwa wanaotaka kuzalisha mbegu..walio serious tu waje site kibamba ....bei mpka vitu husika mvione ,,piga 0754302768....
 
hello mwenye namba napiga upatika
naweza kujua rough cost unawauzaje hao bukini na wana ukubwa gani
ningeshukuru kama ungenieleza mmuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom