Nilikuwa nataka kumwaga hiyo sheria hapa jukwaani, ila umeniwahi.
He can be sued...the evidence is right there.
utafungwa! don't do it. tutakumiss bure BillNa mimi kesho naenda na panga langu kwenye kampeni
aje arusha kufanya maonyesho yake! tih tih tih!!!
Ajaribu aone kama hawajaichukua akiwa hapo, hapo jukwaani! Mshamba sana huyu mzee! Ukisikia mtu mzima hovyo ndo huyo sasa!aje arusha kufanya maonyesho yake! tih tih tih!!!
Hapa alikuwa anawatisha Vijana wavunja amani na waleta vurugu nchini wa Chadema. Kwenye huo mkutano..walinyweaaa!
Hapa alikuwa anawatisha Vijana wavunja amani na waleta vurugu nchini wa Chadema. Kwenye huo mkutano..walinyweaaa!
Narudia tena..unadhalilisha hiyo dini yako kwa hizi comment zako za kipuuzi! Ulishawahi kuona wapi mchungaji mwenye domo chafu kama lako? Jiheshim na utaheshimikaKitimoto live hapo kimefikiria kweli kweli.....!
Narudia tena..unadhalilisha hiyo dini yako kwa hizi comment zako za kipuuzi! Ulishawahi kuona wapi mchungaji mwenye domo chafu kama lako? Jiheshim na utaheshimika
Mabaunsa wasogee sasa!! Rage ni mtoto wa SAIGON sasa anafanya advertise ili kama kuna baunsa alikuwa anataka kusogea hapo ajue kwamba jamaa yupo fit.
HahahahahahahahahahahhahahahahHivi wewe unatofauti gani na huyu Mnayama Kitimoto! On a serious note mimi siioni....hujawahi andika chenye maana zaidi ya kamasi