Kwa kitendi hiki ni kuhalalisha wananchi waende kwenye mikutano ya hadhara na sime ,mapanga na masho je hii ndio tanzania tunayoitaka?Nimeshtushwa na picha iliyopo kwenye ukurasa wa mbele wa moja ya magazeti ya leo. Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage anapanda jukwaani na Libastola kiunoni. Mungu amejibu swali gumu ni nani anaeleta vurugu kwenye kampeni za Igunga? Bastola ya nini kwenye mikutano wakati kuna wanausalama weengi hivyo? CCM NI HATARI JAMANI NI KIFO..
Nimeshtushwa na picha iliyopo kwenye ukurasa wa mbele wa moja ya magazeti ya leo. Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage anapanda jukwaani na Libastola kiunoni. Mungu amejibu swali gumu ni nani anaeleta vurugu kwenye kampeni za Igunga? Bastola ya nini kwenye mikutano wakati kuna wanausalama weengi hivyo? CCM NI HATARI JAMANI NI KIFO..
Mbunge wa Tabora Mjini, Ismail Aden Rage akiwa na bastola kiunoni akielekea kupanda jukwaani kuzungumza na wananchi wa Kijiji cha Igurubi kwenye mkutano wa CCM wa kampeni za uchaguzi mdogo Jimbo la Igunga jana.
Sheria haikatazi mtu kumiliki silaha, ila hili la kuionyesha hadharani kama simu ya BB ni kosa kubwa tena ni kuwatisha wananchi. Watu kama hawa ndio wanaoendelea kutia doa kampeni za CCM. Yaani CCM imekosa watu wote mpaka inaenda kumchukua Rage...ananikumbishia alivyokuwa FAT ya zamani alikuwa mbishi sana..
ni gazeti gani hilo mkuu nikalinunue sasa hivi?
Kitendo cha Mheshimiwa Rage kwenda kwenye mkutano wa hadhara na kuonyesha silaha yake hadharani ni uhamasishaji wa wananchi kwenda na mapanga ,sime na mashoka kwenye mikutano ya kampeni