Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Mkuu Safari_ni_Safari Hii Bastola ya Kibamia inamfaa mkuu Boflo kuitumie unayo wewe hiyo Bastola ya kibamia?
sosoliso hujui kuwa Bujibuji ni bingwa wa kukwepa?Ha ha ha Safari_ni_Safari.. Inapatikana wapi hii maana hii ili udedi inabidi uwe ndani ya mita 10.. So mie nitakuwa ninawalenga akina Bujibuji kwa mbali.. Niwatoe ngeu tu..
Haka kanamfaa sana wife kuendea saloon na sokoni...
<quickprintreadystate style="display: none;"></quickprintreadystate>
Hii kitu ukiwa nayo heshima inatamalaki popote penye uwepo wapo kasoro kaburini tu..Hii ndio ya wanaume....
![]()
Hii ndio ya wanaume....
![]()
kitu yenye ncha kali