Basi zuri kwa Dar - Arusha

Basi zuri kwa Dar - Arusha

Kweli kabisa mkuu magari mzuri kwa root za kaskazin ni haya uliyotaja ongeza na Dar Lucy..... Kilimanjaro, Dar ex yamebaki Majina ndani seat zimechoka TV azifanyi kazi no kiyoyozi....
Kilimanjaro nilikua naipendea mwendo wake road mdogo mdogo tu+customer care yake pia iko poa.

Lkn kwny viti+viyoyozi utajuta aisee.
 
Mabasi ya pande zile yana ujanjaujanja mwingi, nilipanda Mtei moja inatoka Arusha saa 12 asb kwenda Singida, safety belt hiyohiyo imefunga kiti na hiyohiyo unajifunga wewe, usipojifunga safety belt kiti kinahama kilipo
Hahaha aisee hio style ya safety belt sijawahi kuiona kabisaa hahah,hio ni death belt no longer safety belt tena.
 
Back
Top Bottom