Basi zuri kwa Dar - Arusha

Basi zuri kwa Dar - Arusha

Hahhahhahha...mkuu Nina mapungufu Sana ila sio boya na kumbuka me me BM nimepanda Sana esp Moro to Arusha na ofa zao nimepewa Sana...na kumbuka mwenye BM ni home boy so jua wahusika nawajua vzr sana
Ha ha ha baelezee bakuelewe
 
Hahhahhahha...mkuu Nina mapungufu Sana ila sio boya na kumbuka me me BM nimepanda Sana esp Moro to Arusha na ofa zao nimepewa Sana...na kumbuka mwenye BM ni home boy so jua wahusika nawajua vzr sana
Usimaindi Bro, hapa tunachangamsha baraza tukisubiri vitambulisho tupige pesa bila rabsha za mgambo.
 
Ivi siku hizi Yale mabasi ya buffalo hayapo eeh maana yalikua yanatimua mbio balaa
 
Back
Top Bottom