Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,294
Majimama ya Kilimanjaro Motel ni fahari ya macho kwa kweli.Rock Hill kuna mikwaju ya maana ila hawawafikii majimama ya Kilimanjaro Highway yamevimbiana ovyo
Majimama ya Kilimanjaro Motel ni fahari ya macho kwa kweli.Rock Hill kuna mikwaju ya maana ila hawawafikii majimama ya Kilimanjaro Highway yamevimbiana ovyo
Misosi ya pale si mchezzoMajimama ya Kilimanjaro Motel ni fahari ya macho kwa kweli.
Mkuu, we are here to pass, nothing lasts forever, everything is risky.Tahmeed kiyoyozi mwanzo mwisho ila magari yake huwa yanaungua sana
Nilitaka kujua kama ni mhenga mkuu.Acha utani basi
Hahah acha kabisaa mkuu.Umemiss ligi za buffalo na ngorika?
Hao abiria omba wasisafiri na wake zao.Nawaza kuanzisha Biashara ya Massage kwenye hotel wanazokula abiria na wahudumu wa mabasi
33,000 wanasimama Rock Hill Korogwe. Wahudumu wakarimu sanaNauli yao sh ngapi, wanasimama hotel ipi mchana?
Mkuuu BM coach ameleta gari matata sana dar to Arusha n nouma...panda hzo gar utanishukuru badae.......zimeanza route trh moja nlipanda juz kati I can tell you hta Tahmeed mchumbaNaelekea Ubungo kukata tiketi kwa ajili ya safari ya Arusha kesho.
Basi lipi zuri kwasasa? Au bado Kilimanjaro na Dar Express wana mabasi mazuri?