Siki hizi zimepaki tu pale MoshiHata Ngorika sio mbaya mkuu.
Nimezikumbuka enzi zangu mkuu.Siki hizi zimepaki tu pale Moshi
Hii pia ni nzuri sana, hatojuta halafu wako punction.MARANGU COACH mpigie Rose 0717 610094
Msimu huu wa sikukuu zilikuwa zinatoka Dar mapema tu, jioni zinarudi tena Dar, asubuhi zinaanza safari tena Ubungo.Nimezikumbuka enzi zangu mkuu.
Old is Gold.Msimu huu wa sikukuu zilikuwa zinatoka Dar mapema tu, jioni zinarudi tena Dar, asubuhi zinaanza safari tena Ubungo.
Enzi hizo maisha ya tochi hamna
Dar Lux wanasimama hotel ipi wakati wa Lunch?Dar Lux Wana ya 45,000/36,000.... Kilimanjaro ile ya 36,000/=
Nadhani unamaanisha Marangu CoachMarangu express hutojuta mkuu
Rock Hill kuna mikwaju ya maana ila hawawafikii majimama ya Kilimanjaro Highway yamevimbiana ovyoDar Lux wanasimama hotel ipi wakati wa Lunch?
Kweli mkuuOld is Gold.
Mambo ya tochi yamepunguza amsha amsha ya ma bus miezi hii kwa huku Kaskazini aisee
Ile ya karibu na kilimanjaro pana garden garden flani hivi.Dar Lux wanasimama hotel ipi wakati wa Lunch?