And ??
Uzinzi nomaaa muoe atajua tu namna ya kukuita hatakuita hicho kijina.
ndo hivyo miss sa ntafanyaje?
Jamani ni juzi tu hapa nimeanza mahusiano na binti moja wa kimwasi kiukweli nampenda ila sasa, ameanza katabia cha kuniita pamoja na kunitumia message zenye kiianzio cha "Hubby" na kiishio cha neno hilo hilo.
Yaani kusema ukweli nakereka basi tu yeye hajui na bado hajagundua kwamba nachukia, kiukweli mi sifagilii ndo kwanza mahusiano yako katika ngazi ya kijiji yaani bado kabisa.