Basi nikajua ni Mwanza peke yake....

Basi nikajua ni Mwanza peke yake....

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,417
basi mi nikajua mwanza ndo tunaongoza kwa kujenga milimani kumbe na wengine wapo

48160_395310260564983_368646918_n.jpg
 
Vyoo na Maji inakuaje hapo. Hayo ni maisha ya dhiki.
 
Uwezekano wa kunikuta ndani kwa jirani ni mkubwa sana obviously nitakuwa nimepotea nyumba.
 
naona kama hawajipi tabu na gharama za architect
 
Ina maana wabudha ndio wanaishi hivi?

Kujisaidia juu ya paa la mwenzio.
 
basi mi nikajua mwanza ndo tunaongoza kwa kujenga milimani kumbe na wengine wapo

48160_395310260564983_368646918_n.jpg

Mwanza afadhari, najiuliza kuhusu huduma za jamii maana naona miundo mbinu naona ni zero kabisa.
 
Back
Top Bottom