Kwenye Heading si ameshasema VIGWAZA.
Vyombo vinavyo husika vikayoe msaada sababu hakuna msaada wowote na magari hayapiti. ni kamuni ya kbs. Mungu awasaidie. mia
figganigga usiweke 'mia' labda utaeleweka kidogo
Maeneo gani hayo? Liko tupu au naabilia?
Hali ikoje hivi sasa. miamambo vipi mkuu. hawa jamaa achana nao. mimi nlikua kwenye safari zangu. walengwa wamepata taarifa na wameenda sehemu la tukio. mia
Baba V tatizo lako una akili nyingi hadi zimepitilizaNa wewe tulia, "naabilia" ndio nini?? miambili.
Matamshi ya kiswahili yanatofautiana kutokana na eneo mtu analotoka.... Kwa mfano:- Zanzibar wanasema mwengine, nyengine na Bara usema mwingine, nyingine.
Hichi na hiki yote ni sahihi kulingana na eneo unalotoka mkuu!
Kuna wadau wanaanza kuitumia hii jukwaa visivyo.
Wanaweka habari kama vicha vya magazeti ili wapate reply kwa wingi.
Kama sio hivyo mbona wadau wenzako wamekuomba baadhi ya vitu ikiwemo picha hujaweka, na hujatoa ufafanuzi wowotwe kuhusu hiyohabari tunaanza kufikiria huo ni UWONGO 1000