Basi linawaka moto sasa hivi Vigwaza

Kwenye Heading si ameshasema VIGWAZA.

wasimlaumu jamaa,taarifa imetolewa kuomba msaada,kama kataja eneo na ni basi la kampuni gani inatosha kwa taarifa.Hayo mengine ya picha na zaidi yatakuja baada ya kuokoa watu.....au tunataka apige picha badala ya kuokoa?
 
Kuna wadau wanaanza kuitumia hii jukwaa visivyo.
Wanaweka habari kama vicha vya magazeti ili wapate reply kwa wingi.
Kama sio hivyo mbona wadau wenzako wamekuomba baadhi ya vitu ikiwemo picha hujaweka, na hujatoa ufafanuzi wowotwe kuhusu hiyohabari tunaanza kufikiria huo ni UWONGO 1000
 
Mbona jamaa kaandika vizuri tu?inaonekana humu jf kuna watu kazi zao ni kucritisize kila kitu hata kwenye mambo ya usirious,mfano mtu anaweza akakosea herufi kidogo kutokana penngine na uharaka wa tukio au ule mshtuko mkubwa wa kuona ajali basi member wengine wanamwanzia hapohapo.mi huwa najiulizaga sana ni nini hasa mtu anakuwa amelenga?tuweni wastaarabu kama ilivyo jf yenyewe.
 
Matamshi ya kiswahili yanatofautiana kutokana na eneo mtu analotoka.... Kwa mfano:- Zanzibar wanasema mwengine, nyengine na Bara usema mwingine, nyingine.

Hichi na hiki yote ni sahihi kulingana na eneo unalotoka mkuu!

Chengine - Kingine
 
Kuna wadau wanaanza kuitumia hii jukwaa visivyo.
Wanaweka habari kama vicha vya magazeti ili wapate reply kwa wingi.
Kama sio hivyo mbona wadau wenzako wamekuomba baadhi ya vitu ikiwemo picha hujaweka, na hujatoa ufafanuzi wowotwe kuhusu hiyohabari tunaanza kufikiria huo ni UWONGO 1000

Uongo - Uwongo
 
Poleni,Mungu awalinde majeruhi na Waokozi

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom