Basi linaelekea upande gani?

thedaydreamer

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
372
88
search
 
Hii
 

Attachments

  • 30DE4F8B00000578-0-image-a-2_1454579231977.jpg
    30DE4F8B00000578-0-image-a-2_1454579231977.jpg
    6.8 KB · Views: 32
Kama ni sehemu ambayo watu wanaendesha upande wa kushoto mwa barabara (kama TZ au UK) basi litakuwa linakwenda kulia kwa sababu milango ya kupanda/kuteremka haionekani hapa, kwa hiyo iko upande wa pili.

Kama ni sehemu ambayo watu wanaendesha upande wa kulia mwa barabara (kama Congo au USA) basi litakuwa linakwenda kushoto kwa sababu hiyo hiyo ya milango ya kupanda/kuteremka.
 
Back
Top Bottom