Basi la saibaba lapata ajari. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Basi la saibaba lapata ajari.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mapanga3, Jun 19, 2012.

 1. mapanga3

  mapanga3 JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 666
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 180
  Basi la saibaba kutoka dar kwenda mwanza limemgonga mwendesha pikipiki na kusababisha kisho chake hapohapo, ajari hiyo itokea katikati ya dumira na gairo. Mbali na kifo cha mwendesha pikpiki hakuna alijeruhiwa. Aidha ajari hiyo imesababisha usumbufu mkubwa kwa abiria wanao safiri kuelekea kanda ya ziwa kwa kuwa mpaka naripot habari hii bado basi limeshiliwa na polisi. Chanzo cha habari mimi mwenyewe nimejionea nikiwa kwenye basi ya Luwinzo nikitokea dodoma kwenda dar.
   
 2. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Umefanikiwa kujua chanzo cha ajali.Rip mlala hoi mwenzetu
   
 3. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,625
  Trophy Points: 280
  Poleni sana na r.i.p dreva bodaboda. Mia
   
 4. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Ajali ajali ajali, mpaka lini? Zingine ni uzembe wa madereva. RIP mwendesha boda boda
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Ila hawa dereva boda boda muda mwingine wanatamani kufa wenyewe. Yaani kwao sheria za barabarani hazina maana. R.I.P Dereva boda boda
   
Loading...