Basi la New Force lanusurika kupata ajali nyingine Kitonga

Basi la New Force lanusurika kupata ajali nyingine Kitonga

Madereva wanaendesha mabasi kwa mwendokasi utafikiri wehu [emoji848][emoji848]

Wanazani uhai wa mwanadamu unauzwa dukani?

Je Kuna duka linauza Spareparts za viungo vya mwanadamu?

Mguu / mkojo/ jicho/nyonga / kichwa viunauzwa duka gani ?
 
Hawa madereva wapelekwe mafunzo wapate transformation ya minds zao.
 
Nimetafakari na kuona dawa ni kuwa na standi za Makampuni kulingana na anapopata wateja wake, hii kuwa na stand kubwa ya kimkoa inachochea sana mashindano, kama ni stend kuu apitie kadiri muda utaruhusu ila isiwe kama Tai, huu ujinga wa madereva hauwezi kurekebishwa Kwa kutumia hizi sheria uchwara
Mbona mwanza Allys ana stendi yake, katarama yake, happy nation yake, ahsante rabi ya kwake, satco ya kwake, bright ya kwake n.k
Ishu sio kua na personal stand, utakua na stendi binafsi kila kituo?
Ishu n abiria na wapiga debe ndo wanenjoy kuona chuma inaingia ya kwanza.
Mi mwenyewe nna msela wangu kila.siku asubuh lazma.awahi kwenye sehem.ya kahawa akae ashuhudie ligi ya mabasi yakiwa yanaingia shinyanga.

Huu Sasa ni ujinga wa baadhi ya Watu!! Sasa Kuna umuhimu pia kuanzisha sheria ya uzururaji na kukamata Hawa wahuni, nchi haiwezi kupelekwa puta na wahuni,wazururaji wachache
 
Udereva uanzie elimu ya degree.
Ulizia kipindi cha Magu kuondosha vyeti feki, kilichotokea baada ya vijana kupewa STK, STL, STM kilichotokea ni ajali nyingi sana, sababu ni kukosa umakini na mapepe barabarani, kinachohitajika ni malipo mazuri unakuta dereva anastress za malipo, kuvumiliana baina yao, busara na weledi wa kazi kwa madereva kupunguza ajali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo kitonga nusu tena ichukue maisha ya watanzania baada ya basi ilo kugonga basi jingne kampuni ya ABC.

Hii inakua ajali ya 7 ndani ya mwezi huu ambao haujaisha na inakua ajali ya 3 ndani ya wiki moja.
Mwenye hayo mabasi huenda ni freemason hapo anafanya kafara.
 
Pamoja na ukweli kuwa madereva wao wanaendesha mabasi kwa mwendokasi lakini huenda Pia Kuna michezo inayoendelea gizani.

Wachina wanajifunza na kujua kumbe wenzao wanatumia uchawi na ushirikina katika biashara mbalimbali ikiwemo usafiri wa abiria.
Wameanza kuniogopesha kwa kweli, khaaah
 
LATRA wanawachekea Sana new Force.
Ifike mahali waarabu wapewe nafasi kuiongoza LATRA.
Shaloom aleichkemu
 
Mi nahisi askari barabarani hawapo serious na adhabu. Serikali iongeze fine za magari makubwa na insurance isilipe fidia magari yanayopata ajali zaidi ya speed limit ya 80kmh boss hatokubali ainge hasara kirahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kitonga mi napaogopa Sana navoanza kuimaliza ilula ni mwendo wa sala
 
Leo kitonga nusu tena ichukue maisha ya watanzania baada ya basi ilo kugonga basi jingne kampuni ya ABC.

Hii inakua ajali ya 7 ndani ya mwezi huu ambao haujaisha na inakua ajali ya 3 ndani ya wiki moja.
Katarama na Ally's mwanza dar mashindano polisi wako likizo mama samia yuko likizo waziri wa mambo ya ndani yuko likizo
 
Leo kitonga nusu tena ichukue maisha ya watanzania baada ya basi ilo kugonga basi jingne kampuni ya ABC.

Hii inakua ajali ya 7 ndani ya mwezi huu ambao haujaisha na inakua ajali ya 3 ndani ya wiki moja.
Leo tena limekula mzinga
 
Back
Top Bottom