Basi la New Force lanusurika kupata ajali nyingine Kitonga

Basi la New Force lanusurika kupata ajali nyingine Kitonga

Mkuu wekapo kapicha basi tukuamini. La sivyo utakuwa "umethumwa".

a6baa273-8e64-42c1-adee-0c3618e3f28f.jpg

ade75477-7e8d-451a-ac7e-cdb1ac31b627.jpg
 
Mimi juzi nilipanda travel partner tumefika morogoro gar tair ina panch baada wanabadili tair wanajaza upepo matokeo yake tumefika mrandiz bus likataka kuvamia fuso ase nilitukana mpaka wakashangaa

Yaa o mtu mmefika af anataka kuwavunja miguu na mikono hawa madereva wanajazana ujinga kushindana barabarani
Kumbe ndio wewe asee una mitusi mizito sana halafu wala hufananii. Tulikaa siti moja.
 
Nimetafakari na kuona dawa ni kuwa na standi za Makampuni kulingana na anapopata wateja wake, hii kuwa na stand kubwa ya kimkoa inachochea sana mashindano, kama ni stend kuu apitie kadiri muda utaruhusu ila isiwe kama Tai, huu ujinga wa madereva hauwezi kurekebishwa Kwa kutumia hizi sheria uchwara za Latra kufungia Magari
 
Mbona mwanza Allys ana stendi yake, katarama yake, happy nation yake, ahsante rabi ya kwake, satco ya kwake, bright ya kwake n.k
Ishu sio kua na personal stand, utakua na stendi binafsi kila kituo?
Ishu n abiria na wapiga debe ndo wanenjoy kuona chuma inaingia ya kwanza.
Mi mwenyewe nna msela wangu kila.siku asubuh lazma.awahi kwenye sehem.ya kahawa akae ashuhudie ligi ya mabasi yakiwa yanaingia shinyanga.
 
Endeleeni kukimbiza mtazidi kudedi
Abiria wote mnaonekana kama matenga ya nyanya tu

Ova
 
1687699996932.png

Kwa picha hii ni dhahiri ABC alifuatwa
 
Pamoja na ukweli kuwa madereva wao wanaendesha mabasi kwa mwendokasi lakini huenda Pia Kuna michezo inayoendelea gizani.

Wachina wanajifunza na kujua kumbe wenzao wanatumia uchawi na ushirikina katika biashara mbalimbali ikiwemo usafiri wa abiria.
 
Back
Top Bottom