Basi la Ndenjela Coach laungua moto leo (DAR-MBEYA)

Kiumbo

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
560
Reaction score
123
Basi la ndenjela likiwa linatoka dar kuelekea mbeya limeteketea kwa moto kibaha kongowe asubuhi ya leo. Abiria wote wamenusurika janga hilo. Habari kutoka kwa msafiri ndani ya basi la ndenjela.
 
wadau hebu fanyeni utafiti kidogo mabasi ya YUTONG yanaungua sana,ingawa sina uhakika kama na hili ni YUTONG
 
Niliwahi kusafiri na Basi la Falcon mwaka 2005 kutoka Dar kwenda Mw kupitia Nairobi, likaungua moto basi lote pale Isebania karibu kabisa na mpakani Sirari. Abiria tulitelekezwa bila msaada wowote wa kumalizia safari. It was very bad maana bado tulikuwa Kenya. Watu wa usalama waliokuja walibaki kusikitikia tu picha za kampeni za JK zilizopakiwa Nairobi na kuteketea zote. Usiombe tatizo hili likawakuta porini!
 
Poleni sana.
Ni wazi wamenusurika lkn wamepoteza mali zao.
Nchi moto kila kukicha nadhani siku moja itakuja waka Nchi nzima sijui tutakimbilia wapi.
 
Niliwahi kusafiri na Basi la Falcon mwaka 2005 kutoka Dar kwenda Mw kupitia Nairobi, likaungua moto basi lote pale Isebania karibu kabisa na mpakani Sirari. Abiria tulitelekezwa bila msaada wowote wa kumalizia safari. It was very bad maana bado tulikuwa Kenya. Watu wa usalama waliokuja walibaki kusikitikia tu picha za kampeni za JK zilizopakiwa Nairobi na kuteketea zote. Usiombe tatizo hili likawakuta porini!
 
Bus la kampuni ya Ndenjera Coach toka Dar Mbeya limeungua Kongowe muda uliopita. Stay tuned for more information.
 
daaa basi huwa nalipenda sana hili nalo limeungua!
POLE MWAJI!
 
Haya magari ya siku hz sidhani kama yanachunguzwa kabla ya kuruhusiwa kufanya kazi nchini maana kila kukicha yanaungua tu.
 
Basi la ndenjela likiwa linatoka dar kuelekea mbeya limeteketea kwa moto kibaha kongowe asubuhi ya leo. Abiria wote wamenusurika janga hilo. Habari kutoka kwa msafiri ndani ya basi la ndenjela.

Chanzo cha kuungua ni gari la nyama kugongana na hilo basi ndio kupelekea mlipuko uliosababisha gari zote mbili kuungua kabisa!
 
Bus lilikuwa linauduma nzur sana hilo ukichelewa kufika kituon lazima upigiwe simu ni bus la pil kwa ubora kwa usafir wa mbeya to Dar..limebaki moja sasa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
wadau hebu fanyeni utafiti kidogo mabasi ya YUTONG yanaungua sana,ingawa sina uhakika kama na hili ni YUTONG

Mkuu ukiangalia record hakuna ukweli kuwa Yutong zinaongoza kuungua, ajali hutokea kwa aina zote za magari, na isitoshe wingi wa hizo gari kwa sasa hapa Tz unafanya idadi ya matukio ya gari aina nyingine isionekane!
 
Basi la ndenjela likiwa linatoka dar kuelekea mbeya limeteketea kwa moto kibaha kongowe asubuhi ya leo. Abiria wote wamenusurika janga hilo. Habari kutoka kwa msafiri ndani ya basi la ndenjela.

Kifupi hii kampuni ndio yenye gari zenye HUDUMA BORA kabisa kwa njia ya Dar -Mbeya!
 
POLENI wasafiri wote mliokuwa ndani ya hilo gari.
 
Basi la ndenjela likiwa
linatoka dar kuelekea mbeya limeteketea kwa moto kibaha kongowe asubuhi
ya leo. Abiria wote wamenusurika janga hilo. Habari kutoka kwa msafiri
ndani ya basi la ndenjela.

Duh ndio basi pekee nililokuwa nikipanda kutoka DAR-MBEYA-DAR poleni abiria wote mliokuwa kwenye bus hilo
 
Back
Top Bottom