Basi la Mwendo Kasi lapata ajali barabara ya Morogoro

Basi la Mwendo Kasi lapata ajali barabara ya Morogoro

Hahahahahahahaa unamuomba nani? Akutizamie ........ hahahahahahaa dictionary ya tachi screen looh polee
Ever smiling Kassie

How are you doing darling??

Mi miss yu mingimingi sana yani.. hasa ukizingatia leo ni weekend
 
Hahahaaa babuu unanirojesha ujue.....
Si wajua udhaifu wangu ulipo mmmmuuuahhhh raiti baki ati yuu😉
Hehehehee... na ndo lengo langu...

Nliletwa duniani kumrojesha Kasie mbendembende...

kwani umevaa ile naniliu ya pink nlokuletea tokea Jakarta??
 
Hahahahahahahaa unamuomba nani? Akutizamie ........ hahahahahahaa dictionary ya tachi screen looh polee
inaonekana anapenda sana hilo neno limejisave sasa kwa hyo akiandika linajitokeza!hahaha
 
Hehehehee... na ndo lengo langu...

Nliletwa duniani kumrojesha Kasie mbendembende...

kwani umevaa ile naniliu ya pink nlokuletea tokea Jakarta??

Umejuajee ndo hiyo hiyo nimeitinga leo laab yuuu Big Sam
 
Mabasi ya Mwendokasi malaini kama chura..!! mmhh
 
Mmeshaanza asubuhi yote hii kutongosana, nyie haya, atalizwa mutu saa hii hii, haya

Ukiwakuta Kasie na Big Sam wako pamoja mahali flani halafu unasikia sauti ya mtu analia kati yao, ujue anayelizwa hapo ni Kasie. ...

Nini kitasababisha Kasie alie, Babu Big Sam atahusika kujibu.
Asprin

Kulia ni jadi ya kila mwana mke na kubembeleza ni jadi ya kila mwana mme
 
Ukiwakuta Kasie na Big Sam wako pamoja mahali flani halafu unasikia sauti ya mtu analia kati yao, ujue anayelizwa hapo ni Kasie. ...

Nini kitasababisha Kasie alie, Babu Big Sam atahusika kujibu.
Asprin

Kulia ni jadi ya kila mwana mke na kubembeleza ni kadi ya kila mwana mme

Hongera Babu.. kumbe anajua kukuliza kwa mahabat.. napenda sana mwanamke anayejua kulia kwa mahabat, anaongeza harara sana na utamu deep..!! Babu safi
 
Wangejenga underground road wangezifanya salama
 
Back
Top Bottom