HahahahaahahahahaDah...kuna haja kubwa ya kuweka taa za kuongozea magari kwenye makutano ya njia za mwendo kasi baada ya kuvuka Bibi Titi. Cha ajabu kwenye makutano yote ambayo unaweza kuona kwa uwazi wameweka taa....Ila huku uswazi kwenye vichochoro hawajaweka...na ukitaka kuvuka inabidi umuombe mtombea kwa miguu akutizamie....kwani taa bei gani kwani?? Tutegemee ajali nyingi za kutosha mvua zikichanganya[emoji13] [emoji13] [emoji13]