NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,267
Mkuu, South Korea, London, USA kwote umekaa au Google inahusika? Kidding.. :msela:
Aisee, sensa ya mwaka gani inakuambia Dar kuna watu less than 3 million? Aisee, labda sensa ya mwaka 2002. Kwa sasa kuna population of 5,364,541 as of the official 2012 census mkuu.
Welcome Back mzee.
Ahsante kwa kunipa data hizo, but still fanya comparison ya 5million na ile ya 10million na still Dar ina ukubwa almost mara tatu ya Seoul, tatizo linabaki palepale kua dar ina miundo mbinu ya ovyo sana.....
Tembea uone dunia, utaona bongo bado ipo nyuma sana, kati ya step 100 tupo ya kwanza au 0.5 kabisa..