Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Weekend hii hebu nitafute nikunyweshe balimi kwa amani...Babu bwana...mjukuu nipo nimejaa tele hadi namwagikia....wewe tu
Weekend hii hebu nitafute nikunyweshe balimi kwa amani...Babu bwana...mjukuu nipo nimejaa tele hadi namwagikia....wewe tu
Zile tatu za mgao wa kila mtanzania au kutoka mfukoni mwakoWeekend hii hebu nitafute nikunyweshe balimi kwa amani...
Za kwangu. Zile za serikali mi bado naimani ntapata Noah yanguZile tatu za mgao wa kila mtanzania au kutoka mfukoni mwako