encyclopaedia Tanzaree
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 517
- 405
Dar mwanza piaDar Arusha
Dar kigoma
Dar mwanza piaDar Arusha
Dar kigoma
OK kiongoziDar mwanza pia
Yeah wapo njema sanaInaonekana ipo safi sanaa mkuu.,biashara ya mabasi ina ushindani sana siku hizi
Nimepanda basi la hii kampuni, wakati ninakata tiketi jana walinihakikishia kwamba lina kiyoyozi lakini baada ya kuanza safari mpaka sasa hawajawasha kiyoyozi. Ukiwauliza wanasema watawasha lakini hawajafanya hivyo.
Mwenye kampuni fyatilia vijana wako, wanakuharibia biashara.
Nimekumiss ujue...Fungua dirisha tu mkuu cha msingi ufike salama
Hivi pamoja na malalamiko ya kiyoyozi bado 'unacheka msibani'?Nimekumiss ujue...
Hapana, niko nafuatilia turubai....Hivi pamoja na malalamiko ya kiyoyozi bado 'unacheka msibani'?
Ndo shida ya kupanda kwa nauli yoyote uliyonayo mkuu!Nimepanda basi la hii kampuni, wakati ninakata tiketi jana walinihakikishia kwamba lina kiyoyozi lakini baada ya kuanza safari mpaka sasa hawajawasha kiyoyozi. Ukiwauliza wanasema watawasha lakini hawajafanya hivyo.
Mwenye kampuni fyatilia vijana wako, wanakuharibia biashara.
Darlux wako powa sana. Kuanzia mwendo mpaka huduma zao[emoji23] [emoji23] aisee zingatia lililokufanya upande basi(safari) sasa hizo nyongeza zisikutoe Imani, Si tumezoea Darlux ac mwanza mwisho na vioo wanalock,maana kuna walugaluga hawachelewi kufungua vioo Wakati A/c ipo kazini