Basi la Kidia One acheni usanii

Basi la Kidia One acheni usanii

Hii basi niliwahi sikia inamilikiwa na mdogo wa kikwete ..
 
Juzi kati nimetokanalo Mwanza kuja DSM ilipoanz tulikuwa tinapitwa na kila gari mjiani nikawa naboreka hatari ila ilipofika Singida dereva wa akiba aliposhika usukani matumaini ya kulala kwa Landlord wangu ikaongezeka. Ilipofika saa sita kamili usiku nikawa nimefika ubungo tukitanguliwa na mfalme wa njia ya dsm mwanza KISBO SAFARIS.
 
Kwani maisha yako kila siku uwa unatumia kiyoyozi au ni ulikuwa unataka kupanda basi lenye kiyoyozi? Maana ata hali ya hewa yenyewe hairuhusu kutumia kiyoyozi..abiria wengine ni watata natural.

Hali ya hewa ipi? Ya Dar au mikoa yote? Nilikuwa natoka Moshi kuja Dar, waliwasha A/ c Segera ,Moshi na Tanga hakukuwa na mvua ni joto tu
 
Niliwahi kupanda gari ya Dar mwanza/Bukoba kunguni niliokutana nao ni wakubwa kama mende
 
Nimepanda basi la hii kampuni, wakati ninakata tiketi jana walinihakikishia kwamba lina kiyoyozi lakini baada ya kuanza safari mpaka sasa hawajawasha kiyoyozi. Ukiwauliza wanasema watawasha lakini hawajafanya hivyo.

Mwenye kampuni fyatilia vijana wako, wanakuharibia biashara.
Hao jamaa in wapumbavu sana hivyo hutufanya na sisi abiria wapumbavu kama wao. Hapo Hanna kiyoyozi ndugu endelea kula na kuvumilia vumbi ktk baadhi ya maeneo. Mabasi karibia yote Tz ni vichomi tu. Laiti kama ingekuwa ni rahisi kumiliki bastola basi mojawapo ya watu ambao wangefyatuliwa sana ni wahudumu Wa kwenye mabasi
 
Haijalishi anamiliki Nani,chamsingi waboreshe huduma
Customer Care yao Sifuri! Wamechukua genge la Wahuni na kuwapa ajira. Hiyo Kampuni ijifunze Kilimanjaro Bus, Dar Lux na Express la sivyo mteja Mimi sirudi tena. Wana tabia ya kujaza abiria hadi kuweka vigoda ndani. Wanaokaa siti ya nyuma japo wamelipa nauli ya Semi Luxury Bus wanazuiwa kunyoosha miguu kwa kubanwa na abiria Wa nyongeza.
 
Duh
 
Nimepanda basi la hii kampuni, wakati ninakata tiketi jana walinihakikishia kwamba lina kiyoyozi lakini baada ya kuanza safari mpaka sasa hawajawasha kiyoyozi. Ukiwauliza wanasema watawasha lakini hawajafanya hivyo.

Mwenye kampuni fyatilia vijana wako, wanakuharibia biashara.
Mimi nilipanda Kidia One kwenda Moshi WiFi ilikuwepo lakini abiria hawakuitumia! AC ilipowashwa abiria walilalamika wakati kila asiyetaka angeweza kuzima kwake, tatizo abiria wengi wanapenda kufungua madirisha.
 
Hilo basi linamilkiwa na bwana mmoja aitwae Maro yupo ktk taasisi fulani hivi ya umma
Malalamiko / maoni ya Wateja yachukulie kama zawadi ya wewe kuboresha Huduma yako. Usije kwenda Kwa wanga kutafuta hirizi ya kuvuta Wateja!!!!! Ukidhani umelogwa!!
 
Nimepanda basi la hii kampuni, wakati ninakata tiketi jana walinihakikishia kwamba lina kiyoyozi lakini baada ya kuanza safari mpaka sasa hawajawasha kiyoyozi. Ukiwauliza wanasema watawasha lakini hawajafanya hivyo.

Mwenye kampuni fyatilia vijana wako, wanakuharibia biashara.
Angalia pembeni hapo, kuna switch ya panga boy
 
LIM Na KIDIA hayakamatwi kwenye tochi kwa sababu yashakamilisha Muamala kwa traffic sasa logwa uyafuate kwa nyuma unakamatwa wewe wao wanaosha
 
Nimewahi kupanda ratco express mara kadhaa route dar-tanga-dar,saa kumi na mbili na nusu asubuhi,yutong f12 tangu tuko ubungo basi limewashwa air condition mpaka nafika mkwakwani na ilikuwa ni luxury bus means mpaka na toilet ilikuwepo ndani
 
Kiyoyozi na hii hali ya mvua patakalika kweli!
 
Back
Top Bottom