Basi la Kidia One acheni usanii

Basi la Kidia One acheni usanii

Nimepanda basi la hii kampuni, wakati nnakata tiketi Jana walinuhakikishia kwamba lina kiyoyozi lkn baada ya kuanza safari mpaka sasa hawajawasha kiyoyozi.ukiwauliza wanasema watasha lakini hawajafanta hivyo.Mwenye kampuni fatilia vijana wako wanakuharibia biashara.
Mimi nimepanda la dar Arusha jana lilikuwa na kiyoyozi full kutoka dar mpaka arusha bila kuzima, walichoniuzi walisema kuna wifi lakini baadae wananiambia wamesahau kurecharge,
 
Eheee Mimi hao hao waliwah nidanganya et bas lina usb port kila seat nikalipa nauli, kufka ndani ola,

hahaa sisahau ile siku mbona walinipa power bank.
 
Nimepanda basi la hii kampuni, wakati ninakata tiketi jana walinihakikishia kwamba lina kiyoyozi lakini baada ya kuanza safari mpaka sasa hawajawasha kiyoyozi. Ukiwauliza wanasema watawasha lakini hawajafanya hivyo.

Mwenye kampuni fyatilia vijana wako, wanakuharibia biashara.
Acha ujinga piga namba zilizo kwenye tiketi...humu hakuna wa kukusaidia
 
sketch-1509011482868.png
Hili basi linapiga route za mikoa gani??
Itakuwa Dar - Arusha hio,,, hahah pole sana mkuu juzi mi nilipanda Marangu coach, sehemu pekee a/c ilizimwa ni Segera mpaka hotelini tulipokula. Baada ya hapo ni kiyoyozi tu mpaka naingia mjini Moshi.

Yutong ilikuwa mbichi mno nadhani hata week haina mjini seat kali halafu na USB charging ports dah asikwambie mtu safari na Kiyoyozi hata huchoki mi nilishangaa tumefika tu maana nilikuwa nacheza games kwa simu tu na browsing jf nikichoka. Sahivi sipandi gari ambalo halina AC na USB ni bora nilipe hata 32,000/=

Kidia one nilitoka nayo mkoa to dsm last trip nao walitupiga full a/c nashangaa uhuni wameanza lini huo!
Anyway pole sana natumaini wamekusikia mzee.
 
Mimi nimepanda la dar Arusha jana lilikuwa na kiyoyozi full kutoka dar mpaka arusha bila kuzima, walichoniuzi walisema kuna wifi lakini baadae wananiambia wamesahau kurecharge,
Basi gani mkuu,
 
Ndio kawaida yao hawawekagi bundle wajinga sana akati wangeweka voda la ef 15 week nzima lile freshi. Wangelimit ku download tu ingekuwa safi.
 
Kwani maisha yako kila siku uwa unatumia kiyoyozi au ni ulikuwa unataka kupanda basi lenye kiyoyozi? Maana ata hali ya hewa yenyewe hairuhusu kutumia kiyoyozi..abiria wengine ni watata natural.
 
Nimepanda basi la hii kampuni, wakati ninakata tiketi jana walinihakikishia kwamba lina kiyoyozi lakini baada ya kuanza safari mpaka sasa hawajawasha kiyoyozi. Ukiwauliza wanasema watawasha lakini hawajafanya hivyo.

Mkuu shuka panda lingine
 
View attachment 617434
Itakuwa Dar - Arusha hio,,, hahah pole sana mkuu juzi mi nilipanda Marangu coach, sehemu pekee a/c ilizimwa ni Segera mpaka hotelini tulipokula. Baada ya hapo ni kiyoyozi tu mpaka naingia mjini Moshi.

Yutong ilikuwa mbichi mno nadhani hata week haina mjini seat kali halafu na USB charging ports dah asikwambie mtu safari na Kiyoyozi hata huchoki mi nilishangaa tumefika tu maana nilikuwa nacheza games kwa simu tu na browsing jf nikichoka. Sahivi sipandi gari ambalo halina AC na USB ni bora nilipe hata 32,000/=

Kidia one nilitoka nayo mkoa to dsm last trip nao walitupiga full a/c nashangaa uhuni wameanza lini huo!
Anyway pole sana natumaini wamekusikia mzee.

Inaonekana ipo safi sanaa mkuu.,biashara ya mabasi ina ushindani sana siku hizi
 
Kuna baadhi ya wachangiaji wanamponda mleta uzi bila kujua kwamba huduma ya kiyoyozi pia kailipia. Hakuna kitu kinaudhi kama kuambiwa ktk malipo haya utapata vitu kadhaa na mwisho wa siku hakuna hiyo huduma. Hapo lazima pachimbike
 
Nimepanda basi la hii kampuni, wakati ninakata tiketi jana walinihakikishia kwamba lina kiyoyozi lakini baada ya kuanza safari mpaka sasa hawajawasha kiyoyozi. Ukiwauliza wanasema watawasha lakini hawajafanya hivyo.

Mwenye kampuni fyatilia vijana wako, wanakuharibia biashara.
Mkuu Kuna siku walinifanyia uhuni wakati natokea mwanza to dar wkt nakata ticket walinpa sitting plan ya gar nkachagua siti kesho nafka kweny gar siting plan ya office haiendan kabsa na gar sasa wakaanza kutupangga panga aisee nlichagua siti nkakaa na mzeee wakaja et watutoe wawaweke wengne haah nliwaka mkuu nkachukua ticket nkakuta no hapo nkamshtua boss wao aisee boss aliwapgia cm walifokewa sana
 
Back
Top Bottom