wakukurupuka1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 525
- 1,187
- Thread starter
- #201
Ajali mpya leo asbh Bado siku haijaisha 22/06
1:Newforce
2:Kilimanjaro express
3:Rungwe express
1:Newforce
2:Kilimanjaro express
3:Rungwe express
Hata sisi abiria kuna mda tunawaendekeza hawa watu na tunabaki kuwalaumu usalama barabarani,gari iko mwendo kasi polisi anaingia anaongea vizuri anauliza hali ya mwendo,karibia abiria wote wanasema mwendo unaridhisha anawakumbusha kuhusu kupiga simu ikiwa kuna uvunjaji wa sheria za barabarani,abiria wao wanawaza kufika
Ikishatokea ajali lawama zinaanza,sasa wale watu mlitaka wafanyeje?
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Golden Deer tena...Kwani tochi za barabarani za polisi zina kazi gani?
Wafungiwe wanacheza na maisha ya watu hao 😏😏Golden Deer tena...View attachment 2675995