idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,300
- 38,450
Sijakuelewa sijui unamaanisha nini, fafanua labda unaweza kuwa na sababu za kitaalamu.!dar coach nao wachunguzwe hizi body wana tumaliza
Sijakuelewa sijui unamaanisha nini, fafanua labda unaweza kuwa na sababu za kitaalamu.!dar coach nao wachunguzwe hizi body wana tumaliza
Tuma picha za ajali wewe sio hizi picha za birthday sijui..aaagh
Kuna wapuuzi kama kawaida wanaanza kuzungumzia body builder wa gar sasa huyo anasababisha vip au kuzuia ajali? Tatizo kubwa kwa ajali za kugongana hasa uso kwa uso ni derEva na mm ninayeandika haya ni derva wa magar haya haya.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
mi naona barabara za Dar to Mwanza, Dar to Mbeya, Dar to Arusha zipanuliwe ziwe njia nne, hizi njia zina magari mengi na kukosea wakati wa kuovertake kupo tu..na ufinyu wa barabara hatari ya kugongana ni kubwa...
Nilipata divisheni four kidato cha nne na kuishia kuwa mfugaji wa ila nakumbuka mwalimu wa physics alinifundisha "centre of gravity and Stability" pia alitoa mfano wa basi letu enzi hizo likiitwa KABANDOLE lilivyokuwa likipakia mizigo mingi hasa mikungu ya ndizi kwenye carrier na hivyo kulifanya likose balance.......mkuu unaweja kurejea physics yako kama ulifikia hatua kama yangu au kuzidi kidogo!Kuna wapuuzi kama kawaida wanaanza kuzungumzia body builder wa gar sasa huyo anasababisha vip au kuzuia ajali? Tatizo kubwa kwa ajali za kugongana hasa uso kwa uso ni derEva na mm ninayeandika haya ni derva wa magar haya haya.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Jibu la swali lako ni "MADEREVA" na "SERIKALI". Jiulize dereva anaendesha basi kwa leseni daraja C aliyonunua kutoka kwa mamlaka zinazotoa leseni kama atakuwa na ufahamu wowote wa anachokifanya. Hivyo elimu ya madereva hasa sheria za barabarani ni muhimu sana kabla ya kukabidhiwa leseni. Bila hilo vifo vitaendelea kutokea na hili linasikitisha sana kwani hakuna anayejali kwa upande wa serikali, zaidi ya kusema tuko pamoja na wafiwa.
Hizi leseni ni wizi mtupu, kuna watu wengi wana leseni cha kushangaza hata usukani hawajawahi kukamata, mie najiuliza huwa wanazipataje kama hawajajaribiwa na mamlaka husika, mie nadhani ifike wakati leseni ziidhinishwe na vyuo vya mafunzo kama vile vitolewavyo vyeti na baraza la mitihani na siyo traffic police
Naunga mkono hoja yako. Corruption kwenye utoaji wa leseni ikitolewa itapunguza ajali ingawaje haitamaliza hili janga. Kuna wakati unaona mabasi matano yanafuatana na ukiangalia umbali wa basi kutoka basi lingine hata mita tatu hazifiki. Hapo ninabaki najiuliza, je huyu dereva wa mbele akisimama ghafla je kutakuwa na nafasi ya kutosha kwa basi la nyuma kufunga breki na kusimama bila kugonga la mbele? Madereva wa mabasi yetu ni VIHIYO kiasi hata kufikiria hili hawawezi. Malori nayo shida kama mabasi.
Ni lazima tufike wakati tuwe na maamuzi magumu ili kutatua maafa haya. Swali la kujiuliza ni, je, tunayo serikali ya kuweza kulisimamia jambo hili? Mimi jibu langu ni hapana. Tusubiri labda wengine wakishika usukani wataweza kuishughulikia hili jambo.Exactly unakuta magari yanafutana kama nyumbu pale Mikumi mbugani