Basi la Kampuni ya Luwinzo, T853 AUA lapata ajali Morogoro

Basi la Kampuni ya Luwinzo, T853 AUA lapata ajali Morogoro

Nadhani inabidi kifanyike kitu kuhusiana na ajali hizi za mfululizo za mabasi
 
Tangu huu mwaka uanze ((especially mwezi huu wa 3)) kumekua na ajali nyingi xana,,,mpaka naanza kua na wacwac.
 
Kuna wapuuzi kama kawaida wanaanza kuzungumzia body builder wa gar sasa huyo anasababisha vip au kuzuia ajali? Tatizo kubwa kwa ajali za kugongana hasa uso kwa uso ni derEva na mm ninayeandika haya ni derva wa magar haya haya.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Mkuu muwe waangalifu aisee tunakwisha angalau basi hata udereva wa kujihami tatizo naloliona ni kujiamini kulikopitiliza
 
They need to start giving LIFE SENTENCE TO ALL THESE Diabolical drivers together with the owner of the Bus. This is Pathetic and too much.
 
mi naona barabara za Dar to Mwanza, Dar to Mbeya, Dar to Arusha zipanuliwe ziwe njia nne, hizi njia zina magari mengi na kukosea wakati wa kuovertake kupo tu..na ufinyu wa barabara hatari ya kugongana ni kubwa...

Kama hapa mbeya mlima nyoka, barabara nyembamba kama uzi
 
Waziri wa Uchukuzi, SUMATRA hebu toeni neno please. Tunaisha.
 
Waziri wa Uchukuzi, SUMATRA hebu toeni neno please. Tunaisha.
 
Daaaah...
Gari yangu😡
"Tupo Doria"
R.I.P walopata maafa
 
asante kwa taarifa ila tusamehe wengine hatupendi kuona picha za maiti. Ni kinyume na maadili ya uandishi. weka picha za gari n.k lakini sio maiti. Wewe utafurahi mpendwa wako awekwe mitandaoni jamani???? Inakera!
 
Hivi ma trafiki wameacha kuwapima kilevi madereva au da manake wiki haipiti mzinga
 
Kuna wapuuzi kama kawaida wanaanza kuzungumzia body builder wa gar sasa huyo anasababisha vip au kuzuia ajali? Tatizo kubwa kwa ajali za kugongana hasa uso kwa uso ni derEva na mm ninayeandika haya ni derva wa magar haya haya.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Nilipata divisheni four kidato cha nne na kuishia kuwa mfugaji wa ila nakumbuka mwalimu wa physics alinifundisha "centre of gravity and Stability" pia alitoa mfano wa basi letu enzi hizo likiitwa KABANDOLE lilivyokuwa likipakia mizigo mingi hasa mikungu ya ndizi kwenye carrier na hivyo kulifanya likose balance.......mkuu unaweja kurejea physics yako kama ulifikia hatua kama yangu au kuzidi kidogo!
 
ukweli hiyo njia toka mbeya mpaka ufike ni mungu ndiye anajua mabasi ya huko mwendo wake ni wa kasi sana
 
Jibu la swali lako ni "MADEREVA" na "SERIKALI". Jiulize dereva anaendesha basi kwa leseni daraja C aliyonunua kutoka kwa mamlaka zinazotoa leseni kama atakuwa na ufahamu wowote wa anachokifanya. Hivyo elimu ya madereva hasa sheria za barabarani ni muhimu sana kabla ya kukabidhiwa leseni. Bila hilo vifo vitaendelea kutokea na hili linasikitisha sana kwani hakuna anayejali kwa upande wa serikali, zaidi ya kusema tuko pamoja na wafiwa.

Hizi leseni ni wizi mtupu, kuna watu wengi wana leseni cha kushangaza hata usukani hawajawahi kukamata, mie najiuliza huwa wanazipataje kama hawajajaribiwa na mamlaka husika, mie nadhani ifike wakati leseni ziidhinishwe na vyuo vya mafunzo kama vile vitolewavyo vyeti na baraza la mitihani na siyo traffic police
 
Picha zaidi kutoka eneo la ajali

11072165_984761408235407_1737699378_n.jpg

11076820_984761228235425_910695225_n.jpg

11084437_984760638235484_1740737888_n.jpg
 
Hizi leseni ni wizi mtupu, kuna watu wengi wana leseni cha kushangaza hata usukani hawajawahi kukamata, mie najiuliza huwa wanazipataje kama hawajajaribiwa na mamlaka husika, mie nadhani ifike wakati leseni ziidhinishwe na vyuo vya mafunzo kama vile vitolewavyo vyeti na baraza la mitihani na siyo traffic police

Naunga mkono hoja yako. Corruption kwenye utoaji wa leseni ikitolewa itapunguza ajali ingawaje haitamaliza hili janga. Kuna wakati unaona mabasi matano yanafuatana na ukiangalia umbali wa basi kutoka basi lingine hata mita tatu hazifiki. Hapo ninabaki najiuliza, je huyu dereva wa mbele akisimama ghafla je kutakuwa na nafasi ya kutosha kwa basi la nyuma kufunga breki na kusimama bila kugonga la mbele? Madereva wa mabasi yetu ni VIHIYO kiasi hata kufikiria hili hawawezi. Malori nayo shida kama mabasi.
 
Exactly unakuta magari yanafutana kama nyumbu pale Mikumi mbugani
 
Exactly unakuta magari yanafutana kama nyumbu pale Mikumi mbugani
Ni lazima tufike wakati tuwe na maamuzi magumu ili kutatua maafa haya. Swali la kujiuliza ni, je, tunayo serikali ya kuweza kulisimamia jambo hili? Mimi jibu langu ni hapana. Tusubiri labda wengine wakishika usukani wataweza kuishughulikia hili jambo.
 
Back
Top Bottom